Kocha Yanga: Tumebakiza Mechi Mbili tu Ligi Kuu, ya Simba Haipo
WAKATI joto la pambano la Dabi ya Kariakoo likiendelea kupanda kwa mashabiki wa soka nchini, Kocha wa Yanga, Miloud Hamdi amevunja ukimya na kuweka bayana kwamba kwa sasa anaendelea kuwaandaa…