ROMA: Ukitoa Wimbo Wiki Hii na Ukaenda Basi Wewe ni Mwamba
Kupitia maoni yake, Roma ameashiria kuwa msanii atakayethubutu kuachia wimbo wiki hii lazima awe na mkakati madhubuti wa kuvutia umakini wa watu. Kwa mtazamo wake, kasi ya matukio yanayovuma sasa…