Wafungaji Bora NBC Championship League 2024/2025
Orodha ya Wafungaji Bora NBC Championship League 2024/25 | Michuano ya NBC 2024/25 imesalia kuwa msimu wenye ushindani mkubwa, huku washambuliaji wakijitahidi kufunga mabao ili kusaidia timu zao kupata matokeo. Orodha ya vinara wa mabao Ligi ya NBC Championship 2024/2025
Orodha ya Wachezaji wanaoongoza Kwa mabao NBC Championship 2024/2025.
Andrea Simchimba – Geita Gold = 18.
Abdulaziz Shahame – TMA FC = 18.
Raizin Hafidh – Mtibwa Sugar = 18.
Eliud Ambokile – Mbeya City = 12.
Yusuph Mbili – Geita Gold = 10.
Naku James – Mbuni FC = 10.
Mwani Willy – Mbeya City = 10.
Said Fundi – Cosmopolitan = 05.
Cyprian John – Songea United = 04.
Ramadhan Kipalamoto – Songea United= 04.’
Wafungaji Bora NBC Championship League 2024/2025
ALSO READ | Wafungaji Bora NBC Premier League 2024/2025
Ligi ya Daraja la Kwanza, maarufu NBC Championship Tanzania, ni moja ya michuano inayovutia mashabiki wengi nchini Tanzania.
Ligi hii ni ya pili kwa ukubwa nchini Tanzania nyuma ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League), na inatoa nafasi kwa timu kuonyesha vipaji na Kupanda Daraja.
NBC Championship inahusisha timu 16 kutoka maeneo mbalimbali ya Tanzania, ambazo hucheza mfumo wa ligi kamili na kila timu hukutana na timu nyingine mara mbili (nyumbani na ugenini).
Mwisho wa msimu, timu bora hupandishwa daraja kwenda Ligi Kuu (NBC Premier League), huku zile zenye alama chache zikishuka daraja kwenda Ligi Daraja la Pili (First League).