Kocha Nabi Kibarua Kizito Kaizer Chiefs, Yanga Hatiani Kumfukuzisha Kazi
Muda Mfupi tu baada ya kupokea kipigo cha Magoli 4-0 kutoka kwa klabu ya Yanga , Tayari Kimenuka huko Afrika Kusini kwa mashabiki wa Kaizer Chief kuanza kumkataa kocha wao…
Habari Mbali Mbali za Udaku, Michezo na Siasa Kutoka Tanzania
Muda Mfupi tu baada ya kupokea kipigo cha Magoli 4-0 kutoka kwa klabu ya Yanga , Tayari Kimenuka huko Afrika Kusini kwa mashabiki wa Kaizer Chief kuanza kumkataa kocha wao…
Zamani tuliwahi kuishi maisha ya kushangaza sana katika soka. Mfano ni pale mchezaji anapoendelea kuwa mali ya klabu hata msimu unapoishi licha ya kutokuwa na mkataba. Zamani klabu zilikuwa hazina…
Rais wa Yanga Eng. Hersi na Makamu wake Arafat Haji wamefanikiwa kumrejesha kazini Ally Kamwe kwenye nafasi yake ya Meneja Habari na Mawasiliano na Tayari amesaini Mkataba Mpya wa miaka…
Ally Kamwe amejiuzulu kama Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC baada ya kuhudumu kwa misimu miwili tangu tarehe 25 Septemba 2022. Katika andiko lake Instagram, akiaga amesema: “Mtumbuizaji…
Yanga imemaliza kitemi ziara yake ya maandalizi huko Afrika Kusini baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 4-0 dhidi ya Kaizer Chiefs huku ikitwaa ubingwa wa mashindano maalum ya…
Sakata la Kibu Dennis limeingia sura mpya baada ya kubainika kuwa yupo Nchini Norway kwa ajili ya majaribio baada ya kuitoroka Simba Sc kama ilivyoripitiwa awali. Hii ni baada ya…
Klabu ya Yanga imefanikiwa kuibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya TS Galaxy ya Ligi Kuu nchini Afrika Kusini kwenye mechi ya kirafiki ya Mpumalanga Premier Cup iliyopigwa…
FIFA: Hii hapa orodha mpya ya timu bora za soka Duniani Mabingwa wapya wa bara Ulaya, Uhispania wamepanda hadi nafasi ya tatu katika viwango vya hivi punde vya FIFA vilivyochapishwa…
MATOKEO ya Yanga Vs TS Galaxy Leo 24 July 2024 Klabu ya Yanga SC inashuka dimbani leo kuivaa TS Galaxy katika mechi ya pili ya michuano ya Kombe Kuu la…
Klabu ya Simba imefunguka kuhusu wachezaji wao wawili, kipa Aishi Manula pamoja na beki wa pembeni, Israel Patrick Mwenda kutofika kambini nchini Misri mpaka sasa licha ya kuwa na mikataba…
Msimamizi wa Kibu Dennis, Rashid Yazid wa Kampuni ya Football Fraternity amefunguka mapya juu ya sakata la mshambuliaji huyo wa Simba Sc ambapo amesema kuwa nyota huyo ameshawishiwa na ametoroshwa…
Haji Manara akizungumza na wanahabari leo, Jumatatu Julai 22, 2024 Serena Hotel, jijini Dar es Salaam amesema adhabu yake ya kufungiwa kujihusisha na soka kwa kipindi cha miaka miwili (2)…
Msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Manara amemaliza hukumu yake aliyofungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi. Manara alifungiwa miaka miwili pamoja na faini ya milioni 10 baada…
KIKOSI cha Yanga Vs FC Augsburg Leo KIKOSI cha Yanga Vs FC Augsburg Leo Tarehe 20 July 2024 Kikosi cha Yanga jioni ya leo kitashuka Uwanja wa Mbombela, uliopo Mpumangala…
Kikosi cha Yanga jioni ya leo kitashuka Uwanja wa Mbombela, uliopo Mpumangala Afrika Kusini kuvaana na FC Augsburg inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani, huku ikiwa imefikia na kujichimbia katika hoteli moja…
Baada ya Mwananchama mtata wa Yanga, Jumaa Magoma kuwajibu viongozi wa Yanga kuhusu sakata lake la kupeleka kesi Mahakamani. Hivi sasa mzee huyo ambae amemgeukia Mtangazaji Nguli wa michezo nchini…