Ukweli Usemwe Hii Ndio Timu Bora Katika Ligi Kuu ya NBC Premier League
Klabu ya Yanga ndiyo timu bora kwasasa kwenye ukanda wa Afrika mashariki na kati. Yanga ndiyo vinara wa NBCPL hadi hivi sasa. Wapo fainali ya michuano ya CRDB FC wanakutana…
Habari Mbali Mbali za Udaku, Michezo na Siasa Kutoka Tanzania
Klabu ya Yanga ndiyo timu bora kwasasa kwenye ukanda wa Afrika mashariki na kati. Yanga ndiyo vinara wa NBCPL hadi hivi sasa. Wapo fainali ya michuano ya CRDB FC wanakutana…
Aziz K na Aucho GAMONDI:- AZIZI KI NA AUCHO HAWAWEZI KUCHEZA KWA KIWANGO BORA…. KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema kulingana na ratiba sio rafiki wachezaji wake Stephane Aziz…
Kocha Gamondi “Ninaridhishwa na kiwango cha wachezaji wangu. Inawezekana kuna nyakati mambo hayaendi sawa lakini siangalii mchezaji mmoja mmoja huwa naangalia zaidi matokeo ya timu. Mchezaji kuwa na siku mbaya…
Baada ya kuipa pointi tatu Yanga ugenini dhidi ya Ken Gold, beki Ibrahim Hamad ‘Bacca’ amesema ubao unasoma sasa ni 1-1 dhidi ya mabeki wenzake wa timu hiyo. Bacca ambaye…
MATOKEO Yanga Vs CBE Tarehe 21 September 2024 Young Africans inacheza na Benki ya Etheopia kwenye Raundi ya Awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika mnamo Septemba 21. Mechi hiyo itaanza…
YANGA inashuka dimbani leo kucheza mchezo wa raundi ya pili kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya CBE ya Ethiopia. Mchezo huo utapigwa katika uwanja wa New…
HII HAPA TOFAUTI YA DUBE NA BALEKE Wataalam wa soka nchini, wamechambua uchezaji wa mastraika wa Yanga, Jean Baleke na Prince Dube, ubora na upungufu walionao, ikitegemea zaidi Kocha Miguel…
Uamuzi wa Shirikisho la Kimataifa la Soka (Fifa) kuzuia shughuli za michezo kwenda katika mahakama za kawaida si tu kwamba ulilenga shughhuli za mpira zishughulikiwe na vyombo vya mpira pekee,…
Nimekumbuka zamani. Mwaka ‘arobaini na sabaa’. Pambano la CBE dhidi ya Yanga lililochezwa juzi pale Addis Ababa. Futi nyingi juu kutoka usawa wa bahari. Mashabiki wa Yanga hawakuridhishwa na matokeo,…
Yanga imerejea jana mchana ikitokea Ethiopia ilikokwenda kuvunja mwiko wa kupata ushindi wa kwanza ndani ya ardhi ya nchi hiyo kwa kuichapa CBE SA kwa bao 1-0 katika mechi ya…
YANGA imeendelea kuwapa raha mashabiki wake baada ya kuanza vyema michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa ushindi mabao 4-0 dhidi ya Vital’O ya Burundi. Katika mchezo huo wa awali…
Ratiba ya Mechi Zijazo za Yanga 2024/2025 Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara NBC na Kombe la Shirikisho la CRDB Bank Federation Cup Yanga SC wameweka wazi ratiba ya michezo…
Muda Mfupi tu baada ya kupokea kipigo cha Magoli 4-0 kutoka kwa klabu ya Yanga , Tayari Kimenuka huko Afrika Kusini kwa mashabiki wa Kaizer Chief kuanza kumkataa kocha wao…