Maisha ni Fumbo Kubwa Sana, Yaliyomkuta Mbappe Yanasikitisha

Maisha ni Fumbo Kubwa Sana, Yaliyomkuta Mbappe Yanasikitisha
Maisha ni Fumbo Kubwa Sana, Yaliyomkuta Mbappe Yanasikitisha

Maisha ni fumbo kubwa sana✍️

Mbappe kaitumikia PSG msimu 7 bila kushinda UEFA,akaona hapa siyo sehemu sahihi ya kunipa UEFA na Ballon d’Or,kasepa zake Real Madrid.

Baada ya kujiunga na Real Madrid huku PSG wakashinda UEFA na mchezaji wao Dembele akabeba Ballon d’Or,kama haitoshi PSG wako karibu sana kushinda UEFA ya pili mfululizo na pengine kushinda Ballon d’Or ya pili mfululizo.

Huku kwa Mbappe mambo ni Magumu,NO UEFA,NO Ballon d’Or na mbaya zaidi mashabiki milion 30.3 wa Real wamesaini kampeini ya kumfukuza Mbappe huku wakimuita Dictator😎

Maisha ni fumbo kubwa sana,muombe Mungu akupe uchaguzi sahihi

Related Posts