Azam FC Yapigwa na APR, Yaondolewa Michuano ya CAFCL

Klabu ya Azam FC imetolewa katika Raundi ya awali ya Kufuzu Michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/25 mara baada ya kupokea kichapo cha jumla ya mabao 2-1 dhidi ya APR.

FT: APR 2-0 Azam

Aggregate: 2-1.

APR watakutana na kina Klabu ya Pyramids ya nchini Misri hatua inayofuata ya mtoano.

Una lipi la kuwashauri Azam?

#CAFCL

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *