Simba Waruhusiwa Kufanya Mazoezi Kwa Mkapa Siku Moja Kabla ya Dabi
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imethibitisha kuipatia Klabu ya Simba Sports Club ruhusa rasmi ya kufanya mazoezi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam, siku ya…