Golikipa wa Simba na Raia wa Guinea Camara Anaongoza Kwa Clean Sheet

Golikipa wa Simba na raia wa Guinea
 
Moussa Camara anaongoza anaongoza list ya Magolikipa wenye Cleansheet nyingi ndani ya NBCPL !..
Moussa Camara | Simba
Michezo 11 | Cleansheet 09
Djiugui Diarra | Yanga
Michezo 09 | Cleansheet 07
Metcha Mnata | Singida BS
Michezo 10 | Cleansheet 06

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *