Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA UDAKU
  • Ray C Akemea Vikali Kuitwa Msanii wa Zamani
HABARI ZA UDAKU

Ray C Akemea Vikali Kuitwa Msanii wa Zamani

August 17, 2026 Udaku Special
Ray C Akemea Vikali Kuitwa Msanii wa Zamani
Ray C Akemea Vikali Kuitwa Msanii wa Zamani

Mwenye kiuno bila mfupa Ray C amepiga marufuku kuitwa msanii wa zamani akidai wanaosema hivyo wengi wao wamechelewa kuja mjini.

Ray C ameandika ujumbe huu akielezea suala hilo juu ya mashabiki na wadau wa muziki kutumia neno la wasanii wa zamani.

“Biashara ya kuitana msanii wa zamani mnitue, na Remmy Ongala mtasema wa lini? King Kiki je? Bi kidude wa mtondogoo au? Semeni tu mlichelewa kuja mjini ndio nishajiamulia” ameandika Ray C

Related Posts

HABARI ZA UDAKU

Mjengo wa Harmonize wakamilika, auonesha kwenye Instagram, ni noma!

August 17, 2026 Udaku Special
HABARI ZA UDAKU

Ukoo Wetu Ulilaaniwa Kuwa Masikini na Kuteseka, Mpaka Visomo vya Kienyeji Vilipovunja Laana Hiyo

August 16, 2026 Kevin Oucho

Post navigation

Previous: Iran yatangaza kitita kwa kuuliwa wanajeshi wa Marekani
Next: Tundu Lissu: Sina Kesi ya Kujibu

Popular Posts

  • Makala: Nashiriki Ngono na Wanaume 30 Per Day Nilishe Familia Yangu

  • DILI LAIVA MOROCCO: AS FAR Rabat Yaongeza Dau la Allan Okello, Yanga Yamweka Sokoni Baada ya Aziz Ki Kurejea

  • Yanga Yanasa Saini ya Aziz K, Kucheza na Shalulile Pale Mbele

  • BREAKING NEWS: Yanga Yampiku Simba, Yamtambulisha Seleman Mwalimu ‘Gomez’

  • Mngqithi Afunguka Kipigo Kizito cha Yanga Siku ya Mwananchi

  • Kocha Simba Asukuka Safu ya Ushambuliaji Kujibu Kipigo cha Yanga

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.