Askofu GwajimaAskofu Gwajima

BREAKING: Serikali Yafunga Kanisa la Askofu Gwajima….

BREAKING: Serikali imetangaza kulifutia usajili Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askifu Josephat Gwajima ambaye ni Mbunge wa jimbo l Kawe.

Msajili wa Jumuiya za Kiraia, Emmanuel Kihampa ameeleza sababu za kulifutia usajili kanisa hilo ni kwamba kanisa hilo limekiuka Sheria ya Jumuiya Sura ya 337, kwa kutoa mahubiri yenye mwelekeo wa kisiasa na nia ya kuichonganisha Serikali na wananchi, na juongeza kuwa kitendo kilichofanywa na Askofu
Gwajima kinaweza kuhatarisha amani na utulivu nchini.

Hali hii inajiri ikiwa ni siku moja tu imepita tangu Askofu Gwajima atangaze msimamo wake wa kuendelea kukemea vitendo vya utekaji nchini.

ALSO READ | Tazama Ibada ya Askofu Gwajima Leo Jumapili, Afunguka Gwajimanazation

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *