
Mkataba wa Bakari Nondo Mwamnyeto na Young Africans unatamatika mwishoni mwa msimu huu📝❌
Bado hakuna mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya🕵️
AS IT STANDS : Yanga SC hawana mpango wa kuachana nae Bakari Nondo kwenye dirisha lijalo hiyo watarejea mezani na mazungumzo ya kuongeza kandarasi mpya kuanza 🙋✅
Pia kutakuwa na ingizo jipya kwenye nafasi hiyo ya ulinzi wa kati ambaye atakuwa ni mzawa,
Huku asilimia kubwa karata ikitua kwa walinzi wa kati hawa:-
-Nasri Kombo – TRA United ⏳
-Mohamed Mussa – Mashujaa FC⏳
