
Timu ya Taifa ya Ubelgiji βThe Red Devilsβ imetinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia la FIFA 2026 kufuatia ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji wenza wa michuano hiyo, Marekani katika dimba la Seattle, Washington kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora.
Ubelgiji itachuana na Uhispania kwenye hatua ya robo fainali, Uhispania ikitinga hatua baada ya kuisukumiza nje Ureno kwenye hatua ya 16 bora.
FT: USA πΊπΈ 1-4 π§πͺ Belgium
β½ 31β Tillman
β½ 09β De Ketelaere
β½ 33β De Ketelaere
β½ 58β Vanaken
β½ 90+3β Lukaku
