Fadlu Davids Kocha Bora wa Mwezi Ligi Kuu ya NBC

Kocha Fadlu Davids wa Simba Sports Club, ametangazwa kuwa kocha bora wa mwezi wa nane (8).

Fadlu Davids ameiongoza Simba akitika michezo miwili ya Ligi na kushinda michezo yote akikamata usukani wa jedwali la msimamo wa Ligi Kuu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *