Klabu ya Yanga ndiyo timu bora kwasasa kwenye ukanda wa Afrika mashariki na kati.
Yanga ndiyo vinara wa NBCPL hadi hivi sasa.
Wapo fainali ya michuano ya CRDB FC wanakutana na Singida black stars.
Ni mabingwa wa Kombela Muungano mwaka huu.
Mabingwa wa ngao ya hisani mwaka huu.
Hayo ni mafanikio makubwa ambayo wameyapata msimu huu.
Nafasi yao ya kukusanya makombe yote msimu huu ni 95%
NB: PONGEZI KWA UONGOZI WA YANGA👏